Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ashiriki Ibada ya kumwaga Bi Neema Faraja Samwel Aliyefariki Dunia kwa Ajali ya Ndege

Na Barnabas Kisengi-Dodoma MKUU  wa Mkoa wa Dodoma ROSEMARY SENYAMULE ameshiriki ibada ya mazishi ya Marehemu Bi NEEMA FARAJA SAMWELI iliyofanyika Nyumbani kwao Ilazo Jijini Dodoma. Marehemu NEEMA FARAJA SAMWELI alizaliwa Oktoba 26 Mwaka 1994 na Alifariki Dunia Novemba 06 2022 kwa ajali ya ndege Mkoani kagera  ambapo mazishi yake yamefanyika November 09 2022 Jijini